Simba SC na Asante kotoko

yegella

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,113
Reaction score
1,102
wana jamvi tuhabalishane kinacho endelea kwenye uwanja wa taifa kati ya miamba wa Africa baada ya Yanga (Yebo yebo) kuingia mitini...
je simba atapigwa za Real Madrid
Mashabiki wa simba
Mshambuliaji wa Asante Kotoko
 
Half time bila bila, Simba ni wachezaji wanne tu ndo wanacheza timu ya wakubwa wengine wote ni vijana wa Matola wale mabingwa wa Uhai Cup.
 
Half time bila bila, Simba ni wachezaji wanne tu ndo wanacheza timu ya wakubwa wengine wote ni vijana wa Matola wale mabingwa wa Uhai Cup.

vyovyote itakavyokuwa, Simba washukuriwe kwa kuonyesha uzalendo hususani ktk kuazimisha miaka uhuru ya Tanganyika a.k.a Tanzania Bara.
 
vyovyote itakavyokuwa, Simba washukuriwe kwa kuonyesha uzalendo hususani ktk kuazimisha miaka uhuru ya Tanganyika a.k.a Tanzania Bara.

wameonyesha uzalendo au ni muendelezo wa kudhalilisha taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…