Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hujaeleweka bado
Utaelewa tu, hata kwa njia ndefuHujaeleweka bado
Jokes kidogo sio mbayaNawapongeza sana Simba kwa kuwa wa bunifu. Wamejiongeza zaidi. Baada ya kuona Timu yao imekosa muelekeo wakabuni vikundi vya kupiga viongozi wakakipeleka kwa mkopo hata kule cost uniona.
Wameanzisha vikundi vya ushangiliaji kwa timu yeyote itakayokuja Dsm ili mradi haichezi na simba.ina toa msaada wa kua msemaje wa timu yeyote ile. Pia wamejiongeza zaidi wanatoa huduma ya kukushikia nafasi bure huduma hiyo tayali Yanga na Azam wameisha faidika. Haya kwa wale wanaoenda kigoma na reli ya kati usihangaike kugombea nafasi wasiliana na club ya simba watakushikia nafasi mpaka utakapo amua kusafili
Kwa afya......Jokes kidogo sio mbaya
Matopeni Msimbazi au Jangwani?Ahhahhahahahhahhha wamatopeni
Ni wa kutupa.Huna maana
Kweli kabisa, ndio maana chura ni marufuku kupanda ndege. Ila safari hii chura wa Kihansi atapelekwa Nile ili asijetoweka na uharibifu wa mazingira unaotokana na vipigo visivyo na idadi, mnapigwa hadi na jibwa koko la Tanga? Kweli chura huna maana, yaani hata Toto wa Kisukuma kakushinda?Hii thread imekaa kichura churani!!