Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
...Mzee Samuel Sitta ni mwanachama, tena miongoni mwa walezi wa miaka mingi wa klabu ya Simba, pamoja na Profesa Phillemon Sarungi.
Sioni ajabu kualikwa, ni sawa na Yanga wakimwalika mnazi wao namba moja Jakaya wa Kikwete.
Sisi Yanga tunajua fika kuwa SIMBA sc siku zote wao wanalala kitanda kimoja na Mafisadi na ushahidi huhitaji kwenda mbali....
wameamua kumwalika spika ambaye anatuhumiwa na kashfa za ufisadi kwenye shughuli zao
Hawa jamaa naona dawa ni kurudi waliko toka....YANGA
Soma hapa:
http://issamichuzi.blogspot.com/2009/08/spika-mgeni-rasmi-tamasha-la-simba.html#comments
safi na mkuu hapo tuko pamoja...Kama uwanja + Jengo la Yanga limekalabatiwa kwa pesa za EPA inaimanisha ni jengo letu yani watanzania wote (simba, manyema, AFC,maji maji,kagera suger,pamba.......nk) manji aliingia yanga kujificha na ufisadi..Uwanja wa kaunda unajengwa kwa pesa za EPA, na Yanga inamtegemea Manji ambaye ni mwizi nambari moja nchini...
Ndiyo alivyo kama huamini soma kitu alicho kiandika siku Mabomu ya Mbagala yalipolipuka..Sisi Yanga tunajua fika kuwa SIMBA sc siku zote wao wanalala kitanda kimoja na Mafisadi na ushahidi huhitaji kwenda mbali....
wameamua kumwalika spika ambaye anatuhumiwa na kashfa za ufisadi kwenye shughuli zao
Hawa jamaa naona dawa ni kurudi waliko toka....YANGA
Soma hapa:
http://issamichuzi.blogspot.com/2009....html#comments
ha ha Sikutegemea kama kaka GT unaweza kuandika hiki kitu, any way siku huwa hazifanani
GT ni mwanaspoti ,ndiye alianzisha forum ya Arsenal kaaamua kususaMwanaspoti Mbu!!!
Huyo GT achana nae, anataka kuchanganya kila kitu na siasa, amesahau jukwaa hili ni la spoti na starehe!!!
Naona dalili ya kuchafua hewa tayari
GT ni mwanaspoti ,ndiye alianzisha forum ya Arsenal kaaamua kususa
Sisi Yanga tunajua fika kuwa SIMBA sc siku zote wao wanalala kitanda kimoja na Mafisadi na ushahidi huhitaji kwenda mbali....
[/url]
Sisi Yanga tunajua fika kuwa SIMBA sc siku zote wao wanalala kitanda kimoja na Mafisadi na ushahidi huhitaji kwenda mbali....
wameamua kumwalika spika ambaye anatuhumiwa na kashfa za ufisadi kwenye shughuli zao
Hawa jamaa naona dawa ni kurudi waliko toka....YANGA
Soma hapa:
http://issamichuzi.blogspot.com/2009/08/spika-mgeni-rasmi-tamasha-la-simba.html#comments
Wewe unachekesha sana! Yanga ndio klabu inayoongoza kwa kulala kitanda kimoja na mafisadi, na inaendeshwa na fedha chafu za kinara wa mafisadi, YUSUF MANJI! Halafu huo ufisadi wa Spika Sitta ni upi? Mbona unakurupuka? Acha hizo wewe YEBO YEBO!