Simba SC na Mtibwa

Simba SC na Mtibwa

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,741
Ligi kuu Tanzania bara muda mfupi ujao unazikutanisha Simba na Mtibwa kwenye uwanja wa uhuru, mechi inayotalajiwa kuwa mgumu kwa pande zote mbili kwani timu hizi na fukuzana huku simba ikiwa nafasi ya 3 na mtibwa 4...
Mtibwa imepania kuwafanyizia simba kama walivyo wafanyia watani zao yebo yebo....

tusubili tuone baada ya dakika 90.
 
Simba inawakilishwa na
1. Ally Msitafa
2. Huruna Shamte
3. Juma Jabu
4. Juma Nyoso
5. Joseph Owino
6. Jerry Santo
7. Nico Nyangawa
8. Shija Mkina,
9.
10. Mbwana Samata
11. Amri Kiemba
 
Samatta anaipatia goli la kwanza....
 
Dakika ya 16, Simba 1 na Mtibwa 0
 
Mtibwa inawakilishwa na:
Hamed
Salum Machaku
Hussein Javu
Salum,
Vicent barnabas
Issa Rashid
Julias Mrope
Mgusa
Shaban Nditti
 
Poa .. Huyo dogo Samatta moto wa kuotea mbali. Ndala wajiandae next week
Dogo anatishia mafadha.....ndiyo maana alizingua round ya kwanza akitaka apewa gari na sasa simba kuna ona matunda yake..
 
Simba inawakilishwa na
1. Ally Msitafa
2. Huruna Shamte
3. Juma Jabu
4. Juma Nyoso
5. Joseph Owino
6. Jerry Santo
7. Nico Nyangawa
8. Shija Mkina,
9.
10. Mbwana Samata
11. Amri Kiemba

Naona Barthez anamweka Juma Kaseja bench.. Kaseja tangu ahamie Yanga kwishne
 
Amri Kiemba anaipatia Simba goli la 2
 
Hillary Echessa ametoka na nafsi yake imechukuliwa na Rashid Gumbo...
 
Simba wana pata goli la 3 ni Mbwana Samatta tena..
 
Back
Top Bottom