Sisi team zetu hazina team za vijana ambazo kwa ukongwe wao ingekuwa ndio chemichemi ya vipaji lakini wapi.Fafanua Simba na Yanga wanaharibu vipi soka letu?
Kuna nchi za Africa zinashiriki AFCON mpaka kombe la Dunia na zina timu za watani wa jadi kama Simba na Yanga kwa hapa Tanzania.
ππππWakwere mna misemo: "Eti mchicha uliota pembezoni mwa ukuta wa shimo la choo".