bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 9,530 Reaction score 20,988 Jun 18, 2023 #21 Robidinyo said: Adebayor ni usajili sahii na ni mchezaji mwenye uwezo na kiwango bora, hata chama hakua na nafasi barkane ila alivyorudi uwezo wake tumeuona, Adebayor na Miqson ni usajili bora kabisa, Click to expand... Miqsone ni kamari
Robidinyo said: Adebayor ni usajili sahii na ni mchezaji mwenye uwezo na kiwango bora, hata chama hakua na nafasi barkane ila alivyorudi uwezo wake tumeuona, Adebayor na Miqson ni usajili bora kabisa, Click to expand... Miqsone ni kamari
Benaya- JF-Expert Member Joined Jul 31, 2019 Posts 4,415 Reaction score 7,631 Jun 18, 2023 #22 Mac Alpho said: Nyinyi pale mna wachezaji gani kutoka nje ambaye ni chipukizi ambaye mmekaa nae walau misimu mwiili? Taja wawili tu. Click to expand... Mimi nimeongea kwa ujumla na sio Simba pekee hata Yanga pia, huoni wazee wengi wamepigwa ..Thank you?
Mac Alpho said: Nyinyi pale mna wachezaji gani kutoka nje ambaye ni chipukizi ambaye mmekaa nae walau misimu mwiili? Taja wawili tu. Click to expand... Mimi nimeongea kwa ujumla na sio Simba pekee hata Yanga pia, huoni wazee wengi wamepigwa ..Thank you?
Orlando_ JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 662 Reaction score 1,209 Jun 18, 2023 #23 Binafsi bado ninayo imani kwa Adebayor Zakari Adje...
kilwakivinje JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 6,184 Reaction score 9,407 Jun 18, 2023 #24 joseph1989 said: Unaweza ukakuta washamalizana nae,maana viongozi wa Simba na Yanga akili zao sometimes wanazijua wenyewe. Azam msimu ujao yupo serious mno,ukifanya usajili wa hovyo unaweza ukakucost kwa miaka miwili. Click to expand... Azam ni kama baiskeli ya kunolea visu hamna kitu pale
joseph1989 said: Unaweza ukakuta washamalizana nae,maana viongozi wa Simba na Yanga akili zao sometimes wanazijua wenyewe. Azam msimu ujao yupo serious mno,ukifanya usajili wa hovyo unaweza ukakucost kwa miaka miwili. Click to expand... Azam ni kama baiskeli ya kunolea visu hamna kitu pale