GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nina taarifa za uhakika kuwa ili Kutuliza Hasira Kali za wana Simba SC ( nami nikiwemo ) za muenendo mbaya wa Timu yetu na kwa Viongozi wetu wa Simba SC kwa kutujua Mashabiki wao tulivyo Mazuzu Original huenda Ligi Kuu ya NBC ikimalizika tu Mchezaji wa Kwanza Kusajiliwa Simba SC akawa ni Fiston Kalala Mayele na nimedokezwa pia kuwa kama Simba SC itafungwa na Yanga SC katika Derby ijayo bado Kesho yake kutakuwa na Propaganda Kubwa juu / dhidi ya Fiston Mayele ili Kututuliza kwa Kipigo na Kutuhamisha Kimawazo.
Sababu Kubwa ninayosema kuwa Mayele kamwe asisajiliwe Simba SC kwani hatokuwa na Msaada wowote ule ni kwamba Kisaikolojia kwa sasa hayuko sawa na akija Tanzania kwa aina ya Mashabiki wa Yanga SC ninaowajua Mimi na Waganga Wao hatari wa Bagamoyo, Pemba, Mtwaa na Mbeya hatoweza kufanya vyema na baadae tutakuja Kulaumiana na Kushikana Mashati. Mwacheni aende Azam FC akakutane na Marafiki zake Wakubwa Feitoto na Nduguye Bangala.
Tayari GENTAMYCINE nimeshapata Strikers Wawili hapa nchni Uganda nilipo ambao nina uhakka wataifaa tu Simba SC.