Simba Sc ni Gari limewaka au ni moto wa makaratasišŸ¤”

Nimecheki statistics namba zinaongea.
View attachment 3672486
Siwaamini mpaka wamfunge mtani wao. Wakikutana na Yanga kwenye kukaba wachezaji mizigo(abiria) huwa wanakuwa wengi. Matokeo yake ndio kama yale ya 3 Mei 2026,unamfunga mtani magoli mawili,unambwelambwela hadi yanarudi yote na ubingwa kwa herišŸ˜€
 
Kuna mtu anaitwa MAEMA. .. yupo katika FORM..
Ndipo unaona simba ya GUEYYE, OURA , KALETSO ..tofauti na KAGOMA alivyokuwa more defensive midfielder
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…