Simba SC ni wakati wa kusikilizia maumivu, Makocha wazungu ni ovyo sana

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Niliwahi kusema hapa kuwa huyu mhindi ni mpuuzi sana.

Kwa uamuzi wa kuleta kocha mzungu sasa hivi ni kuhujumu timu.

Sikubaliani kabisa na kumtoa Chama mapema hivi.

Mashabiki mlioko uwanjani onyesheni hasira zenu, huyu mzungu hatakiwi Simba
 
Tuombe Mungu tushinde kwanza
 
Wakionyesha hasira zao Chama atarudi uwanjani au???
 
Kocha sio mbaya ila hawezi fanya maajabu kwa wiki moja. Chamuhimu simba hii game ya leo ilipaswa wamwachie mgunda aje na kikosi kazi chake then huyo mbrazil taratibu aingize falsafa zake kwenye game zijazo
 
Hakuna kocha mzuri anayeweza kuwa na mchezaji kama Chama na akamtoa mapena namna hii wakati hana mbadala.

Hata hivyo hili ni kosa la waliomleta mzungu.Nina hasira nao sana

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mpuuzi utopolo we!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Toxic Concotion namkumbukaga sana aliwai kunipa busara.
Never argue with an idiot. They will drag you down to their level and beat you with experience.
Tumwache afanye kazi mechi ya kwanza..
Kama wew unajifanya una uchungu sana kuliko wanasimba wote....
Still na Iman tunashinda Leo...
Sito kujib tena...Mm ni simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…