Simba SC ni wakati wa kusikilizia maumivu, Makocha wazungu ni ovyo sana

Kocha kaitengeneza Vipers kila mtu ameuona ubora wao, hizi pressure zenu ni wenge tu, apewe muda...
Acheni propaganda,vipers walikuwa na wachezaji wazuri tu.Haya mambo ya kusema kaitengeneza ni uongo tu.

Hata angeifundisha Mgunda huenda ingekuwa bora zaidi kulioko ilivyo sasa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hujielewi kabisa, kabla ya huyo kocha kwenda Vipers hawakuwa na lolote la maana...

Umeanzisha uzi wa mihemko tu hapa..
 
Hujielewi kabisa, kabla ya huyo kocha kwenda Vipers hawakuwa na lolote la maana...

Umeanzisha uzi wa mihemko tu hapa..
Vipers wasifu wamiliki waliotoa pesa za kusajili sio mlete propaganda uchwara.

Huyu hajawatengeneza akina Manzoky,aliwakuta wakiwa na viwango vyao

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kwani chama ndio nani bwana ebu acheni upuuzi wenu, Wamefanyiwa sub kina Messi sembuse chama, Uyu kocha amjajua anachokitaka ataki mchezaji anayecheza kama konokono anataka mchezaji mwenye kasi kwa maana iyo chama ajiangalie anaweza kuwa anaanzia benchi mbele ya uyu kocha
 
Kwa akili zako ulimuona huyo mchezaji Chama alipotoka?

Kwa akili zako zenye "ki.ny..si" Sakho ndio mbadala wa Chama?

Kelbu wewe

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kasomee ww ukocha basi
 
Kocha anataka mido sharp kama bobosi
 
Wewe hujui lolote kuhusu mpira. Roberto amesomea na anayo leseni ya ukocha uefa pro.
Mbeya city kama ilivyo kagera ni timu kisiki kwa simba.
Mara ya mwisho zilitoka sare ya 1-1. kwa hiyo kwa leo simba kushinda 3-2 ni kwa sababu ya huyu kocha mbrazili.
Kocha apewe muda na siyo kumpima kwa mechi moja tu.
 
Watu wanasahau hilo. Hii ilikuwa mechi ngumu kwa Simba. Inawezekana hata kumtoa Chama ilivuruga game plan ya Mbeya.
 
Niliwahi kusema hapa kuwa huyu mhindi ni mpuuzi sana.

Kwa uamuzi wa kuleta kocha mzungu sasa hivi,ni kuhujumu timu.

Sikubaliani kabisa na kumtoa Chama mapema hivi.

Mashabiki mlioko uwanjani onyesheni hasira zenu,huyu mzungu hatakiwi Simba
Ngaoingapi? acha domo pana
 
Kocha kazi anayo, ile penalty haieleweki imetoka wapi, ila pia watu kuchomoa tena wakiwa pungufu inafikirisha sana. Kocha anaweza asimalize huu msimu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…