Simba SC niwaambieni mara ngapi kuwa achaneni na Inonga na Chama kwani wapo zaidi yao kama mkitulia na kuwatafuta

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Yaani natamani Siku nipate bahati ya kukutana na Viongozi wa Simba SC ili niwapige vibao kwa hasira kwani wananikera hadi basi. Niwaambieni mara ngapi nyie Viongozi wa Simba SC na mnielewe? Inonga na Chama ni virusi wakuu ndani ya Wachezaji wa Simba SC kwanini mnawabembeleza hivi ili kuwabakiza?

Waacheni waende Yanga SC huko wanakokutaka na mimi nina mtaalam huyo atawapiga Pini wote na watakuwa kila wakivaa jezi za Yanga SC kende zao zote zinavimba na wakizivua wanawaza kurejea Makwao Congo DR na Zambia tu Kudadadeki zao.
 
Pale viongozi si ni mapoti na marafiki zako ambao hua wanakupenyezea za ndani kabisa au hua ni upoti wa jamii forum tu kumbe hata kawasogelea na wewe unatamani..
Jamii forum ina watu wana mikwara..
 
Chama ni mzgo, sjui kwann Simba wanapenda kibembeleza wachezaji.
Yanga ilipogundua kina Yennick na Juma shaban, wanaleta nyodo iliwaondoa haraka ili wasiambukize tabia hzo kwa wachezaji, Leo timu nzima ya Simba inataka kuwa na tabia za Chama .
 
Yaani natamani Siku nipate bahati ya kukutana na Viongozi wa Simba SC ili niwapige vibao kwa hasira kwani wananikera hadi basi. Niwaambieni mara ngapi nyie Viongozi wa Simba SC na mnielewe? Inonga na Chama ni virusi wakuu ndani ya Wachezaji wa Simba SC kwanini mnawabembeleza hivi ili kuwabakiza?

Waacheni waende Yanga SC huko wanakokutaka na mimi nina mtaalam huyo atawapiga Pini wote na watakuwa kila wakivaa jezi za Yanga SC kende zao zote zinavimba na wakizivua wanawaza kurejea Makwao Congo DR na Zambia tu Kudadadeki zao.
Tayari mkuu wote wameshapewa talaka tatu zao, wakaishi vema kwa waume zao wapya wakienda kuchomesha na huko shauri yao tena sisi tumeshanawa mikono.
 
Back
Top Bottom