J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jun 9, 2023 #1 Samahani lakini najua wengi mko busy na mkataba wa Dubai Ila leo vibanda umiza Vyote walikuwa wanaishangilia Simba SC kwa kutwaa Kiatu cha Dhahabu Aibu na Nusu mwanawane!
Samahani lakini najua wengi mko busy na mkataba wa Dubai Ila leo vibanda umiza Vyote walikuwa wanaishangilia Simba SC kwa kutwaa Kiatu cha Dhahabu Aibu na Nusu mwanawane!