Simba SC tafadhali msiutumie tena Uwanja wa Azam Complex Chamazi, bali nendeni Amani Zanzibar au Arusha au Tanga tu sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Chamazi (Azam Complex) si tu Umesharogewa bali umefanyiwa Kufuru mbaya za Kishirikina na Timu fulani fulani kwa ruhusa wa Boss Mkuu wa Timu yenye Umiliki wa huo Uwanja ambaye nae kwa 100% ni Shabiki wa hiyo Timu fulani fulani japo Baba yake Mzazi ni Tajiri mkubwa nchini na asiye na mbwembwe, uchoyo wala Usununu / Roho Mbaya.

Na msije Kuthubutu kabisa kwenda Jamhuri Dodoma au CCM Kirumba Mwanza nako huko ni Ngome Kuu ya Timu fulani fulani ambayo kwa sasa inajua Kuroga/ Ushirikina kuliko kitu chochote kile.
 
Popoma ukitoka kuukweka tu basi mawazo ya kishirikina yanakuja hapohapo
Nimecheka sana ulivyolitumia hilo neno langu nililolibuni kutoka Lugha ya Kizaramo la Kuukweka ( yani Kunya ) kama ambavyo pia umetumia neno langu lingine nililolibuni hapa JamiiForums mwaka 2013 kutoka katika Lugha za Kizaramo na Kindengereko la Popoma ( yani Pumbavu)

Ni furaha Kwangu kama Mtu niliyeyapenda na yakawa yanakubalika na yanapendwa pia Kutumiwa na Members hapa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Zanzibar huko ndio mtapigwa kata funua!!, Unamjua Bi Fatima Karume wewe!. Walogi fc🤣
Kwahiyo Simba SC twende wapi Mkuu. Hebu tuchagulie basi Mtani wetu mwana Yanga SC na tutakushukuru.
 
Kama mnasajili wachezji type ya Bubacar ssar Kila uwanja mtaona umerogwa.

Mngeomba Tff mchezee Bunju ila kwa Hali ya mvua za Sasa Hostel zimejaa maji mpaka vyumbani perege na vyura wanaunguruma vyumbani.

Mpaka maji yaje kukauka uwanja uonekane Ligi imesha[emoji1][emoji1]
 
Tutanunua pump kama zile za irrigation za kuvutia na kusukumia maji au magari ya maji taka ya kuyonyea uchafu
 
Tutanunua pump kama zile za irrigation za kuvutia na kusukumia maji au magari ya maji taka ya kuyonyea uchafu
Maji yameanzia Mbezi, Tegeta, Bunju n.k utayavuta kwa kwa pump kweli!!![emoji1][emoji1][emoji1]
 
Simba hajawahi shinda pale mara nyingi anaishia kupata sare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…