mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
Simba sc Timueni VIONGOZI hao wawili Try again na Mangungu ,bila hivyo mtaendelea kuharibu tu na hamtajenga timu.
TUNAENDELE KUHARIBU TULIPOISHIA?
Taarifa za Uhakika ni kwamba Simba inaenda kubomoa kikosi chake na kuanza kukisuka upya!!
Possibly Che Malone ataondoka,Inonga anaondoka! Bado hatujui hatima ya Jobe na Fred, vipi kuhusu Saido Ntibazonkiza?
Yes ni sahihi kufanya Reshafle kwenye kikosi , lakini kubomoa Kikosi bila kubomoa uongozi kwanza uliopo madakani ni sawa kutwanga maji kwenye kinu.
Simba itabaki kuwa kichwa cha Mwenda wa Zimu kama tutaacha huu uongozi madakani halafu tukabomoa Kikosi cha wachezaji tukiratajia performance nzuri.
Tumefukuza makocha 5 ,hayujafukuza hata kiongozi mmoja..na kila kocha anayefukuzwa na Timu inazidi kushuka performance.
Sasa Tatizo ni makocha au Viongozi?? Sasa tunahamia kufukuza wachezaji tena halafu uongozi unabaki ule ule wa miaka yote ,yaani unaruka mkojo unaenda kukanyaga Mavi..
Unakata matawi ya Mti unaachaa mizizi halafu unategemea mtu utakauka..
N:B.Ukiwezekana hata wanachama wabomolewe hawa ndiyo wanaowafuga wachumia matumbo kwenye Club 🤝