SIMBA SC, tulishawahi kuwaambia, football ni investment na Uongozi bora

Mimi waliniboa zaidi pale waliposema kufungua WhatsApp Group na Kibegi ni mafanikio Concrete ya Timu.
 
Wazee wa Vipolo.. wakielezwa Ukweli wanakuja na Mitusi..
Bado wanamsubiri Manzoki chezaji lao
 
Mimi waliniboa zaidi pale waliposema kufungua WhatsApp Group na Kibegi ni mafanikio Concrete ya Timu.

Aibu Tupu. Hii ndio shida ya kufanya kazi wazee

Simba inauozo mwingi. Halafu wanaendelea kuamini kuwa Yanga ni underdog; hawakubali WAKATI, na upepo umeshashift…… ilitakiwa waamke waanze kucope chap . Kwamba things are not the same

I am pretty sure Yanga akikutana na Simba ; simba kwa vovote anakula tano tena

Yanga imejijenga silently bila ya kelele

Kelele za sasa ni matokeo

Waache waendelee kukimbizana na Chama kwenye mitandao [emoji1787]
 

Hamia Yanga
 
Wazee wa Vipolo.. wakielezwa Ukweli wanakuja na Mitusi..
Bado wanamsubiri Manzoki chezaji lao

Wanamsubiri Chama

Wao ni Chama tu
Ndio ugonjwa wao mkubwa

Waacheni
Yanga inazidi kutengeneza game

Yanga anakwenda FINAL
 
Umesahau kuna kocha wa yanga aliwahi kusema mashabiki wa yanga ni nyani wanashangilia hawajui mpira! Ukisoma huu uzi unapata jibu moja kwa moja

Endelea kuamini

Ila Yanga ni mume wako na alikulala vitano na ukaamka na uchovu.

Na kama mume wa Yanga; utashuhudia anacheza Fainal CAFCL , mtaangalia mpira huku sura zinawaashuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…