Shida yetu simba ni mambumbumbu wengi sanaKwahiyo Simba mnaangalia Yanga anataka kusajili nani ili muwahi? Nini Shida hapo Msimbazi?
Huyu mleta uzi kahama utopoloni lini?hivi huko Utopolo hamna habari za kuripoti?
Wakiongozwa na Manara na TFF.Shida yetu simba ni mambumbumbu wengi sana
Kupola ndio nini sasa? Kajifunze kiswahili.Ni kawaida yetu kuwapola wachezaji.
Hajahama, maana ndo maana ya utopoloHuyu mleta uzi kahama utopoloni lini?
Kwani wewe unayo hela ya kumchukua? Au kuna mtu unamtegemea amchukue kwa hela yake?Na umasikini wa Yanga ulivyo waliweza kumchukua Senzo, kwanini Simba tushindwe kwa Makambo?