Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
Fundi nguo kupewa kazi ya upajuaji(hospitali) kwa sababu anajua kutumia mkasi vizuriKuna kasumba inayoendelea ya kuusu mwijaku kupewa kitengo cha uamasishaji watu kubeza naona kama wanakosea yule ni mwamasishaji na wala si afisa habari wa timu.
Kwa mpira wa bongo ulivyo tunaitaji watu kama awa ili game ichangamke timu inaitaji amasa naona kwa Mwijaku
nafasi hiyo kwa sasa inamfaa epu mashabiki wa simba tumsupport akuna kitakachopungua kwa sababu yeye sio mchezaji wala ayuko kwenye benchi la ufundi.
Manara alipokuwa Simba nilikuwa nachukia aina ya usemaji wake ,kila siku majungu na kuzungumzia wengine ,alipoondoka niliona afadhali ,Simba hatuhitaji aina ya uhamasishaji wa hao watu,Simba ilijaza uwanja bila Manara ,hivi kwenye press ya timu mtu anazungumza tukifungwa nitavua nguo nitembee uchi wa mnyama?huu ni ujinga tunataka watu waliosomea hiyo tasnia na wastaarabu na wanaojua mpira siyo wambeaMatokeo na soka maridadi ndio linaleta hamasa mzee,bongo tuachane na huu upuuzi.
Hata kama ingekuwa inapendeza kuwa na mhamasishaji kwangu mwijaku ni mshikaji fulani hivi empty set.
Simba iachane na huo upuuzi.. unadhani akija mazembe ukapiga, ukaenda kwa raja casablanca ukamfunga huko huko kwao, kuna haja ya kuhamasishana!? Kuhamasishana maana yake kuna jambo haliko,tunafosi liwe kitu ambacho si kweli
kikubwa point imeelewekaDah! Tatzo mnaandika kwakujilegeza saana! Mu amasishaji=muhamasishaji, awa=hawa, itajika=hitajika! Ebu jikaze basi usijilegeze! Wanasimba siyo legelege hivyo
Mkuu mpira wa bongo ulivyo unaitaji watu hao ko ni muhimuManara alipokuwa Simba nilikuwa nachukia aina ya usemaji wake ,kila siku majungu na kuzungumzia wengine ,alipoondoka niliona afadhali ,Simba hatuhitaji aina ya uhamasishaji wa hao watu,Simba ilijaza uwanja bila Manara ,hivi kwenye press ya timu mtu anazungumza tukifungwa nitavua nguo nitembee uchi wa mnyama?huu ni ujinga tunataka watu waliosomea hiyo tasnia na wastaarabu na wanaojua mpira siyo wambea
Ndio mkuu bongo vigisu nyingi sana😁😁Fundi nguo kupewa kazi ya upajuaji(hospitali) kwa sababu anajua kutumia mkasi vizuri
Sema kitengo alichopo akuna tatizoMatokeo na soka maridadi ndio linaleta hamasa mzee,bongo tuachane na huu upuuzi.
Hata kama ingekuwa inapendeza kuwa na mhamasishaji kwangu mwijaku ni mshikaji fulani hivi empty set.
Simba iachane na huo upuuzi.. unadhani akija mazembe ukapiga, ukaenda kwa raja casablanca ukamfunga huko huko kwao, kuna haja ya kuhamasishana!? Kuhamasishana maana yake kuna jambo haliko,tunafosi liwe kitu ambacho si kweli
umesomeka mkuukikubwa point imeeleweka
Kwani kuna chuo cha kusomea UHAMASISHAJI wa timu Mkuu???? Hicho chuo kipo wapi tukasome na sisi.Manara alipokuwa Simba nilikuwa nachukia aina ya usemaji wake ,kila siku majungu na kuzungumzia wengine ,alipoondoka niliona afadhali ,Simba hatuhitaji aina ya uhamasishaji wa hao watu,Simba ilijaza uwanja bila Manara ,hivi kwenye press ya timu mtu anazungumza tukifungwa nitavua nguo nitembee uchi wa mnyama?huu ni ujinga tunataka watu waliosomea hiyo tasnia na wastaarabu na wanaojua mpira siyo wambea
Kwahiyo hao we unapenda namna wanavyohamasisha?Kwani kuna chuo cha kusomea UHAMASISHAJI wa timu Mkuu???? Hicho chuo kipo wapi tukasome na sisi.
Tatizo lenu linalowasumbua mnataka kujidanganya kuwa Simba ni some level kama Mamelod ,Ahly, Wydad ,Zamelek, Tp Mazembe mnataka Simba ifanye vitu kama hao Giant mtasubiri sana, kitu ambacho si kweli, Simba ni top level kwa Ukanda wetu sio vinginevyo.
Tasnia ya uhamasishaji chuo chake kipo wapi tukasomee?Manara alipokuwa Simba nilikuwa nachukia aina ya usemaji wake ,kila siku majungu na kuzungumzia wengine ,alipoondoka niliona afadhali ,Simba hatuhitaji aina ya uhamasishaji wa hao watu,Simba ilijaza uwanja bila Manara ,hivi kwenye press ya timu mtu anazungumza tukifungwa nitavua nguo nitembee uchi wa mnyama?huu ni ujinga tunataka watu waliosomea hiyo tasnia na wastaarabu na wanaojua mpira siyo wambea
Kweli mkuu ukiangalia mpira ulivyo wa bongo vitu kama hivyo iwezi kuviepuka lazima timu ikubali tuTunachosahau....ambao hatupendi hilo swala ni sisi wachache.
Wabongo wengi wanapenda hayo mambo...
Kwahiyo ni sawa tu kuwepo muhamasishaji ( japo sipendi).
Nao wanaopenda ndio wanaojaza uwanja....sio sisi tusiopenda, ambao ni nadra pia kuonekana Taifa.
Ndio mkuu angepewa nafasi ya afisa habari hapo tungeoji hila hiyo nafasi akuna shida yoyote si ni kama shabiki yan anakuwa kama bongo zozoNakupongeza sana mkuu kwa kuleta uzi wa ufafanuzi kuna watu wanachanganya afisa habari wa timu na muhamasishaji wa timu.
Mkuu akuna tatizo mwijaku ni kama bongo zozo shabiki pia muhamasishaji wa taifa starsNapenda sana Simba inavyojiendesha sasa hivi.
Huo uhamasishaji tuuache.
Ubora wa Club na performance ni hamasa tosha katika viwango vya flyover.
Lakini mwijaku si kama bongo zozo akuna shidaManara alipokuwa Simba nilikuwa nachukia aina ya usemaji wake ,kila siku majungu na kuzungumzia wengine ,alipoondoka niliona afadhali ,Simba hatuhitaji aina ya uhamasishaji wa hao watu,Simba ilijaza uwanja bila Manara ,hivi kwenye press ya timu mtu anazungumza tukifungwa nitavua nguo nitembee uchi wa mnyama?huu ni ujinga tunataka watu waliosomea hiyo tasnia na wastaarabu na wanaojua mpira siyo wambea