Nakazia kabisa Hoja ya mleta mada baadhi ya viongozi kamati ya utendaji na wapenzi wa simba ni wa HOVYO HOVYO kabisa!!
Ungesoma vema, sababu imeelezwa ni mpango mahususi ili kocha mkuu afukuzwe. Read between lines.Kusema ukweli mzungu ameshindwa kutuonyesha soka la kuvutia na magoli ya kutosha.Ushindi umekuwa wa shida sana wa kafoli kamoja halaf tunarudi kudefend.Wakati anafika tulikuwa tunaitwa wazee wa 4g.Amepwaya,aondoke