Simba SC tuzindua jezi zake mpya leo

Simba SC tuzindua jezi zake mpya leo

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ile kiu ya mashabiki wa simba juu ya uzi wao mpya watakao utumia msimu huu kitendawili sasa kimeteguliwa.

Leo saa tano asubuhi jezi zitazinduliwa kaa mkao wa kula.#we are unstoppable.


A76CE82C-964C-407F-B9FB-E60CA0C344DC.jpeg
 
Sema kibiashara fred vunjabei ni nzuri kwake...ata kama zimechelewa ila demand ikiwa kubwa namna hii mzigo wake anauonaa
 
Sio anakuja popoma hapa kudanganya watu mzigo umekwama bandarini kama vile Simba SC imekosa kabisa pesa za kuukomboa huo mzigo.

Yule mjinga anatakiwa kushukuru sana anajificha kwenye kivuli cha feki ID, vinginevyo angekuwa anaozoea Segerea, kuchafua jina na biashara ya mtu kwa tuhuma za uongo bila uthibitisho ni kosa kisheria, ila wajinga wenzie huwa wanamshangilia.
 
SIMBA
...................
Lete Maneno......
By JK Wa Msoga Mboga Chalinze Tanzania



Simba Wenzetu Wamechangamka, Lakini Bariidii
 
Back
Top Bottom