Simba SC tuzindua jezi zake mpya leo

Sema kibiashara fred vunjabei ni nzuri kwake...ata kama zimechelewa ila demand ikiwa kubwa namna hii mzigo wake anauonaa
 
Sio anakuja popoma hapa kudanganya watu mzigo umekwama bandarini kama vile Simba SC imekosa kabisa pesa za kuukomboa huo mzigo.

Yule mjinga anatakiwa kushukuru sana anajificha kwenye kivuli cha feki ID, vinginevyo angekuwa anaozoea Segerea, kuchafua jina na biashara ya mtu kwa tuhuma za uongo bila uthibitisho ni kosa kisheria, ila wajinga wenzie huwa wanamshangilia.
 
SIMBA
...................
Lete Maneno......
By JK Wa Msoga Mboga Chalinze Tanzania



Simba Wenzetu Wamechangamka, Lakini Bariidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…