Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
hiyo dauda ndio nani?
hiyo dauda ndio nani?
Dauda ni yule kijana ambaye akili yake ni sawa na akili ya maiti
Mkuu, nimefanya marekebisho, siyo Dauda ni Bin Zubeiry, unaweza kutembelea blog ya Bin Zubeiry kwa matokeo zaidi ya Simba na Yanga.
Leo ni siku nyingine katika historia ya Yanga na Simba. Yanga iliandika historia ya kuitandika Simba goli 5-0 hapo tar. 01/06/1968. Simba ilijibu mapigo kwa kuicharaza Yanga 6-0 tar. 19/07/1977. Simba ililipa kichapo cha 5-0 cha mwaka 1968 tar. 06/05/2012. Hadi sasa Yanga haijalipa kichapo cha 6-0 cha 1977. Je, Yanga itaifunga Simba 6-0 leo?
(Data frm Bin ZUBEIRY).
Leo tumemuomba Mungu itokee hivyo, tutakuwa pamoja saa 10 kufatilia mtanange
Channel ipi imechukua haki za mpambano huo kuonyeshwa 'live' ?
Nitakuwepo ground pia mpwa...nilikosa tiketi za VIP, nitakuwepo mzunguko wa Orange!!!
Kauli za kila upende.
Simba:Tutaweka jongoo kwenye pilau lenu.
Yanga:Tutawapiga 6.0 ili mkasubili maonyesho ya 7x7.
Sahau!Simba leo anakula mtu! Imetoka mtaani.
lefa martin saanya.
Muda 10:00
vikosi.
Simba sc:
1.juma kaseja
2.nassor masoud 'cholo'
3.miraj adam'ashley cole'
4.mussa mudde
5.shomary kapombe
6.jonas mkude
7.mrisha ngassa'mtoto wa nyumbani'
8.mwinyi kazimoto
9.ramadhani sengano'messi'
10.amri kiemba
11.haruna chanongo
sub:
1.abed dhaira.
2.william lucian'gallas'
3.hassani hatibu
4.rashid ismail'chid boy'
5.edward christopher
6.felix sunzu.
Coach😛atrick lewing(france)
mfumo 4-4-2/4-3-3.
yanga sc:
1.ally mustafa'batherz'
2.mbuyu twite'b52'
3.oscar joshua
4.nadir haroub'cannavaro'
5.kelvin yongani'engineer'
6.athuma iddi'chuji'
7.simon msuva
8.frank domayo
9.didier kavumbagu
10.hamisi kiiza
11.haruna niyonzima'fabrigas'
sub:
1.said mohamed
2.shadrack nsajigwa
3.nizar khalfan
4.omega seme
5.jerry tegete
6.said bahanuzi
7.daud luhende.
Coach:ernie brandts.
Mfumo:4-3-3/4-3-2-1.