Simba SC v Young Africans SC

Kumbukumbu tarehe ya leo

18 May 1991 Yanga 1 - 0 Simba

sijui itajirudia ngoja tutaona aisee...
Yani twende taifa tukampige mtu kamoja tuu???kama matokeo yatakua hivi ntakua tayari 'kubanduliwa'aise!
Hapa ni kuanzia 5-0!
 
Kumbukumbu tarehe ya leo

18 May 1991 Yanga 1 - 0 Simba

sijui itajirudia ngoja tutaona aisee...

Mkuu hizi moja moja ameshakula nyingi tu,mimi nataka ile 5-0 kwa sababu haya majamaa unajua kenye hilo yametukamata,yani hatupumi,mara oooh ubingwa mmechukua lakini hamuwezi 5,mara sijui nanihii kafanya vile lakini hizi 5 noooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!.
 

Kwani Simba kuwapigwa 7 hatuwezi?
 
Yani twende taifa tukampige mtu kamoja tuu???kama matokeo yatakua hivi ntakua tayari 'kubanduliwa'aise!
Hapa ni kuanzia 5-0!

Mkuu angalia hapo kwenye RED hao jamaa wanaova hiyo rangi wasije kukutafuta halafu uanze kukasirika!!!!!!!!!!!
 
Mkuu, Goli 5 zipo leo. Simba hakuna mfungaji pale, kama kona ni Goli basi sawa nakubaliana na wewe kwamba tunaweza tukatoka 5 kwa 2.

Mkuu Yanga hawana timu ya kuifunga Simba goli tano, mkijitahidi sana itakuwa moja bila au draw na sana sana tutawachapa mbili moja; Timu yetu si mbaya kiasi hicho; toka ligi ianze magoli mengi ni mawili tu yale ya Mtibwa.

Kwa hiyo hadi dakika 90, display itasoma hivi: Simba 2-1 Yanga.
 

naona hadi refa mmebadilisha laabda tano zitapatikana.. still loading...72%
 
Mkuu WABHEJASANA iweke pembeni hiyo 5m mashabiki wa YANGA waipangie bajeti.

Nirushieni hata pipi kwani niko mbali.
 
Mkuu Masuke leo vaa uzi wa njano au kijani ili usijelazimishwa kuvua hiyo blauzi yako nyekundu.
Nguo ya njano sijui hata kama ninayo, labda jezi ya Taifa star ina vistrip vya njano na yenyewe siku kama leo siwezi kuivaa.
 

mkianza kufunga nyie itakuwa hivyo ila kama wakitangulia yanga imekula kwenu na refa wao kazi mnayo..
 
Mkuu WABHEJASANA iweke pembeni hiyo 5m mashabiki wa YANGA waipangie bajeti.

Nirushieni hata pipi kwani niko mbali.

fuatilia humu humu utachagua mwenyewe kuwa guest au poster..
 

Mkuu hapo kwenye red huwezi nikopesha mimi kwa riba ndogo kuna kaproject fulani kanazihitaji, maana hiyo ahadi najua haiwezi kukamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…