Simba SC Vs Coastal Union (2-0)| Simba yatwaa Ubingwa msimu wa 2020/21

90+2' Kuelekea kumalizika kwa mchezo wa VPL

Naaaam mpira umekwishaaa ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao mawili kwa bila dhidi ya Coastal Union na kuutwaa Ubingwa wa VPL.

FT, VPL; Simba SC 2-0 Coastal Union.

.... Ghazwat
Yap,kama vipi polisi wakaimarishe ulinzi pale Karume ofisi za tff lile kombe la Simba linaweza kuibiwa na wahuni wa mtaa wa Jangwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…