Simba SC vs El Merreikh kuchezwa bila mashabiki

Nani amekwambia wamezuia sababu ya corona?

Watakuwa wamezuia kwa sababu hakuna Corona. Hivyo ndivyo tulivohubiriwa tukaelewa.

Na ile mechi ya wa South Africa na Algeria ilishachezwa au nayo kutafuata utaratibu huu huu?

Tuko vizuri!
 
[emoji724][emoji706] Haya maswali muulize dada ako niliyempa mimba

Bro kama huna hoja ya maana inayohusiana na hii thread you better shut up

Tusitafutiane ban za lazima
ent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Ha ha ha...🤣🤣🤣 Sasa mbona unapanic mwanayanga mwenzangu? Huo si ugonjwa. Ni jambo la kawaida tu baada ya muda ukimaliza linaisha unabaki normal. LAMBA LIMAO. halafu tulia kunywa soup...kaaa chini nyosha miguu. Tuliza moyo usije ukaharibu ....tulia dawa ilishaingia subiria tu matokeo.

Just cool down yataisha hayo...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
.Yanga hatuna wanafiki mamluki kama nyie.

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
 
Corona ni akili yako inavyoamini.
Ukiamini ipo basi ipo ukiamini haipo basi haipo
Watakuwa wamezuia kwa sababu hakuna Corona. Hivyo ndivyo tulivohubiriwa tukaelewa.

Na ile mechi ya wa South Africa na Algeria ilishachezwa au nayo kutafuata utaratibu huu huu?

Tuko vizuri!
 
Corona ni akili yako inavyoamini.
Ukiamini ipo basi ipo ukiamini haipo basi haipo

Nadhani haipo kwani ndivyo jiwe anavyoamini.

Ila kwenye hii mechi CAF hana haja na imani yenu. Mtanange kupigwa bila washabiki kukidhi matakwa ya Corona.

Habari ndiyo hiyo.
 
Haya ni maamuzi yaliyotokana na kipigo ilichokipata Al Ahly dhidi ya Simba kwa Mkapa. Nafikiri kocha Pitso Motsimane amemwambia Rais mpya wa CAF Motsepe kwamba Simba inanufaika na uwepo wa mashabiki uwanjani, kitu ambacho timu nyingine zinaona hakileti usawa.

Tukumbuke Rais mpya wa CAF ni mdhamini mkuu wa Mamerod Sundowns hivyo naye anaona hatari endapo huko mbele ya safari timu yake ikikutana na timu inayocheza mbele ya mashabiki wake kama Simba.
 
.Yanga hatuna wanafiki mamluki kama nyie.

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Wala usipanic ...just relax... Sawa eeeeh.... Relax. Vuta pumzi shusha.... Lala kwa ubavu au chali. Usilalie tumbo. Endelea kujenga utulivu. Huhitaji kuwa na hasira. Mi naelewa situation yako... Huu ndo wakati wake. Unakuwa na hasira,chuki,wivu na husda.ila yatisha tu. Uwe mvumilivu. 😁
 
Mamelodi Sundowns

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
 

Hahaahaaa:

 
AS Vita Club [emoji1078] President Bestine Kazadi has confirmed that 3000 people will be allowed to attend the CAF Champions League game against @AlAhly [emoji1093] at the Stade des Martyrs in Kinshasa tomorrow.

#TotalCAFCL #ASVASC https://t.co/Mqd11JmKoE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…