Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Tuko pamoja MkuuLeo nitakuwa live nikiwasafirisha kifikra matukio madogo madogo ya uwanjani
Tutakaposhuhudia simba ikizidi kujikita kileleni
Hii mvua ikinyeshaga simba atakuwa na nafas nzuri zaid kushinda
Tujumuike uwanjani kuisapot timu yetu
Mkuu utakuwa ni mshabiki wa [emoji196] [emoji196] [emoji196] fcsamba 0 mbeya city 4
Huyo yuko misungwiah hiki chanzo chenga