Mkuu uko kolomije nini,mbona hakuna updates,?Leo nitakuwa live nikiwasafirisha kifikra matukio madogo madogo ya uwanjani tutakaposhuhudia Simba ikizidi kujikita kileleni.
Hii mvua ikinyeshaga Simba atakuwa na nafasi nzuri zaidi kushinda.
Tujumuike uwanjani kuisapot timu yetu.