Simba Sc Vs Ruvu Shooting,Uwanja wa Taifa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001



Afrika Mashariki nzima inatambua leo wenye ligi yao watakuwa Uwanja wa Taifa katika mbio za kukamilisha ratiba. Mechi ni Simba Sc dhidi ya Ruvu Shooting.

Utaungana nami hapa JF tukishirikiana na wakuu Ghazwat tutakujuza yote mastaa wa Simba wakitumbuiza pale taifa.

Usiondoke
 
Dah..
Mikison mpaka nilimsahau! Yupo kimya dogo hana makuu.
 
Sawa ngoja tuone ila naamini ushindi upo japo nina wasi wasi kidogo na hiki kikosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…