Simba SC vs Yanga SC, Mapinduzi Cup final leo. Simba kuondoka na kikombe

Kweli ulitabili. Ulisahau kutabiri.
 
Mwaka huu tutainua makwapa sana ndio tumeanza hivi wananchi
 
Ni aibu kukuta mikia bado wapo humu,hebu pumzikeni,Wanaume tunataka kufanya kikao kuhusu huu ubingwa,imekuaje twende matuta na utelembwe?

Munahaki ya kusema yote hayo hongera zenu,
 
Unadanganywa, chukua hatua! Hakuna mechi isiyo na umuhimu katika michezo. Kama unabisha jilegeze kwenye Ndondi kama hutatolewa macho.
Kubali umepigwa.
 
Mmeshituka? Soon mtatutangazia vita kama kawaida yenu!
 
KIpigoooo cha mbwa kokooo adi wameshindwaaa kurudi dar, pambafuuuu wakubwa lao domoo tuu na mihamala ya mpesa, wamekutana na marefaa wa Zanzibar ambao hawakubali mihamala wakatandikwaa shoti ya hatareee
 
Mtaambia nn watu jamani nyie mliosema simba anashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…