Simba SC vs Yanga SC nje ya uwanja

Simba SC vs Yanga SC nje ya uwanja

Tariqfinest

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
16
Reaction score
23
Top 10 timu zenye wafuasi wengi katika mtandao wa Tweeter kwa ukanda wa CECAFA

1. SimbaSCTanzania - 647 K
2. Yangasc1935 - 167 K
2. OfficialGMFC - 161 K
4. Azamfc - 142 K
5. AFCLeopards - 100 K
6. Rayon_sports - 67.2 K
7. KCCAFC - 58.5 K
8. VipersSC - 47.9 K
9. Aprfcofficial3 - 46.8 K
10. Ruvu_ShootingFc - 38.3 K

Follow me IG and JF as Tariqfinest

FB_IMG_16337752946246021.jpg
 
Katika mikoa kadhaa niliyotembea na kuhudhuria sehemu tofauti tofauti za kuangalia mpira.

Nimefanya ka research kuangalia timu yenye mashabiki wengi Kati ya Simba na Yanga.

Nilichokugundua kwenye mashabiki 10 mashabiki 7 mara nyingi huwa wa simba. Hata mtaani na kwenye vilinge hali ni hiyo hiyo.
 
Na hao watatu ni lazima wawe wazee au wahamiaji kutoka nchi za mbali
 
hizi ni club 10 africa zenye wafuasi wengi, utopolo pia inaiongoza kwa kuwa na wafuasi aina ya misukule pamoja na vile vibwengo kwenye jersey

1633847875708.png
 
Mashabiki wengi afu mifuko imechacha. Mi naamin yanga ndo ina watu wanaojielewa na very humble na royal kwa timu yao kuliko mashabiki wa timu yeyote hapa bongo. Uthibitisho wa kwanza ni data za TFF ya Karia kuonesha inaongoza kwa mapato ya getini licha ya kuwa na msimu mbovu ulioisha
 
Back
Top Bottom