Tariqfinest
Member
- Jul 13, 2021
- 16
- 23
Na hao watatu ni lazima wawe wazee au wahamiaji kutoka nchi za mbaliKatika mikoa kadhaa niliyotembea na kuhudhuria sehemu tofauti tofauti za kuangalia mpira.
Nimefanya ka research kuangalia timu yenye mashabiki wengi Kati ya Simba na Yanga.
Nilichokugundua kwenye mashabiki 10 mashabiki 7 mara nyingi huwa wa simba. Hata mtaani na kwenye vilinge hali ni hiyo hiyo.