babayao255 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2019 Posts 11,632 Reaction score 29,912 Mar 15, 2020 #101 Kafrican said: Alie anzisha mada ni mtanzania mwenzako Geza Ulole, rudi page 1 ukajionee mwenyewe Click to expand... Sasa iweje unituhumu kitu ambacho sijakiandika?
Kafrican said: Alie anzisha mada ni mtanzania mwenzako Geza Ulole, rudi page 1 ukajionee mwenyewe Click to expand... Sasa iweje unituhumu kitu ambacho sijakiandika?
thisdayes JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 3,610 Reaction score 4,556 Mar 15, 2020 #102 Ungekuwa wa maana ungetuletea ushahidi wa mapato ya hizo mechi za raga, Kama ulivyo letwa wa Dar Derby. Tofauti na hapo ni makelele tu unapiga hapa. Kafrican said: Michezo ya raga hujaza mashabiki kuliko hio mashemeji derby, na kiingilio ni 500 ! au ukipenda 11,183 Tanzanian Shilling Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa wa maana ungetuletea ushahidi wa mapato ya hizo mechi za raga, Kama ulivyo letwa wa Dar Derby. Tofauti na hapo ni makelele tu unapiga hapa. Kafrican said: Michezo ya raga hujaza mashabiki kuliko hio mashemeji derby, na kiingilio ni 500 ! au ukipenda 11,183 Tanzanian Shilling Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Kafrican JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 7,251 Reaction score 7,037 Mar 15, 2020 #103 thisdayes said: Ungekuwa wa maana ungetuletea ushahidi wa mapato ya hizo mechi za raga, Kama ulivyo letwa wa Dar Derby. Tofauti na hapo ni makelele tu unapiga hapa. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... rudi page moja hapo nyuma utaona niliteta mapato ya raga ambayo ni takriban 20 Million ksh
thisdayes said: Ungekuwa wa maana ungetuletea ushahidi wa mapato ya hizo mechi za raga, Kama ulivyo letwa wa Dar Derby. Tofauti na hapo ni makelele tu unapiga hapa. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... rudi page moja hapo nyuma utaona niliteta mapato ya raga ambayo ni takriban 20 Million ksh
thisdayes JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 3,610 Reaction score 4,556 Mar 18, 2020 #104 Source ni mdomo wako! Kafrican said: rudi page moja hapo nyuma utaona niliteta mapato ya raga ambayo ni takriban 20 Million ksh Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Source ni mdomo wako! Kafrican said: rudi page moja hapo nyuma utaona niliteta mapato ya raga ambayo ni takriban 20 Million ksh Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app