Simba SC waingiza wawili kikosi Bora cha wiki CAFCC

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
SIMBA YATOA WAWILI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF

Hiki Hapa Kikosi Bora cha wiki Kombe la Shirikisho Afrika:

1. Zakaria Saidi (JS Soura)
2. Karim El Eraki (Al Masry)
3. Mohammed Hussein (Simba SC)
4. Kevin Mondeko (TP Mazembe)
5. Joash Onyango (Simba)
6. Ghazi Ayadi (JS Soura)
7. Hassan Ali (Al Masry)
8. Felix Oukine (Coton Sport)
9. Karim Konate (Asec Mimosas)
10. Mohammed El Fakih (Al Ahli Tripoli)
11. Kabelo Dlamin (Orlando Pirates)

My Take
Huyu Konate aje Simba Sc tuchukue CAFCL mwakani
 
Konate ni ngumu Sana kuja Simba ndugu yangu.Media houses za ivory coast zinampamba kila siku na kumfananisha na drogba wa baadae,wenyewe wanasema ana hadhi ya kuchezea ulaya na si Africa .Kiufupi huyu dogo ni kama Kelvin John wa bongo kule kwao

Wa kuja bongo hapa ni Yule wa USGN;Adebayo
Hata mwenyewe anaonekana km anaipenda simba,na anonekana endapo ulaya kutabuma ameiweka Simba km option B
 
ila maajabu hamna hata kombe la kimataifa
Kwa Mara ya kwanza Kombe LA afrika lilitua taiga 1993 simba kafika fainali unajua hiloo? Unajua simba ndiye bingwa was Mara nyingi waa kombe LA kagame? Kachukua Mara 6 au kimataifa gani unazungumzia Leo afrika ukitaja Tanzania wanaijua simba siyo takatakabza kuhonga wachambuzi maandazi
 
duh kagame ni kimataifa?Aiseee

Hio fainali kombe alibeba ama hakubeba?
 
Konate hawezi kuja simba red bull Salzburg ya Austria alipopita sadio mane na patson daka washaweka usd millions 2...sakho tu kuja simba akiwa MVP waaa ligi ya Senegal ilileta maneno ya dharau ila kwa kuwa anachukuliwa na sporting Lisbon ya ureno soon Senegal washaelewa kwamba simba nii daraja LA uhakika
 
duh kagame ni kimataifa?Aiseee

Hio fainali kombe alibeba ama hakubeba?
Simba 74 kafika nusu fainali...93 fainali...Leo Mimi chongo nabishana na kipofu anayeishiaga round ya awali anapigwa nje ndani
Endeleeni tu kupokea wageni airport ila wajinga nyie mshapangwa kundi moja na rayon na gorr mahia mkaambulia points 4 mechi sita wajinga nyie
 
Waache wajisahau hivyo hivyo waendelee kumpamba ila wakija kustuka sakho tayari thamani yake ni B5
 
Kwa timu ya ASEC Mimosas huenda Mchezaji Aziz Stephanie..! kuja Simba SC
 
Aisee huyo jamaa ni noma
 
Mkuu hizo fainali mlibeba makombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…