GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Saikolojia
Nimetizama takribani Mechi Tano ( 5 ) za Simba SC na nilichokiona kwa 90% kinachoisibu ni Utulivu wa Kiakili ( Saikolojia ) ya Wachezaji.
Body Language ya Wachezaji wa Simba SC ukiwa ni Mngwena ( Mwamba ) wa Saikolojia utagundua kuwa Tatizo Kubwa lipo Vichwani mwao, linawauma na hata Kuathiri Uchezaji Wao.
GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Simba SC haina Kikosi Imara na cha Ushindani ila ninachoamini Wachezaji wa Simba SC wanahitaji Psychological Counseling tena ya haraka mno.
Naomba hili lifanyike haraka sana tu.