Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Tukio la Jana yanga kuporwa ushindi kwa nguvu limefunika kbsa habri za Simba kupigwa tatu kavu.

Yanga ndio imekuwa the top story kwa watu wote hakn mtu anongelea hbr za Simba ukiongeaa habr za Simba Wanaka kimya.

Simba wanashukuru hili tukio la yanga sna.
 
Acha uchokozi.

Wenzio wanataka mjadala kuwa lile goli la Yanga halikuvuka msitari, halafu wewe unataka kuleta habari za Simba ilifungwa chuma mbili kavu kweli mtaelewana?
 
Acha uchokozi.

Wenzio wanataka mjadala kuwa lile goli la Yanga halikuvuka msitali, halafu wewe unataka kuleta habari za Simba ilifungwa chuma mbili kavu kweli mtaelewana?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha uchokozi.

Wenzio wanataka mjadala kuwa lile goli la Yanga halikuvuka msitali, halafu wewe unataka kuleta habari za Simba ilifungwa chuma mbili kavu kweli mtaelewana?
Nao tuwajadili SAS kwanin amepigwaa nne kavu
 
Usipunguze magoli ni 4 ukijumlisha la ugenini
 
Sasa si kila mtu kafa kivyake..yaani kutolewa kwenu kuwe kunatuhusu sisi... Au tuliwashika miguu msifunge penati.
Ila yanga ndoo imekuwacover kubwa why not Simba
 
Washazoea kukomeshwa tabu ipo kwa wageni wa mashindano!
 
Kila mtu anafanya kinachomfurahisha[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…