Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

Kufungwa Yanga, washukuru Simba aisee !
 
Mmevurugwaaaaa..
Sasa toka usiku hamlali ooh goli goli asubui mmeamka nalo...page za caf zote na mamelode mmejaa nyie na malalamiko yenu na mitusi....tumewaachia mlalamike maana mliwapokeaga wenyewe wasauzi leo wamewababua...
Ss hatuna stress..stress mnazo nyie wa kina mwakarobo Jr...
 
usisumbuliwe na vitu vidogo hivyo vinavyoweza kuwa edited wote ukakosa pa kushikilia; wewe komalia mada ambayo haiwezi kuwa edited.
Najua bado kile kitu kilichotokea jana bado kina spin kwenye ubongo wako kiasi kinafanya ukose umakini kwenye uandishi
 
Usingezima simu jana ungeonekana mpira haukubabaishi kabisa kwa stress ila sasa [emoji847]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] story yote jiji la dodoma Ni yanga tu nimepita vijiwe vya Simba nao wanaongelea hbr za yanga tu

Ila fans wa Simba hawan raha kbsa wanatamani wao ndio wajadiliwe ila ndio hvyo coverage kubwa Ni yanga

Jioni nitAanzisha Uzi wa Simba kujadili ubovu wa simba na kifanyike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…