Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

Ila kumbuka tulikubaliana Simba ilipotolewa na Waidady, hakuna kufa kiume wa kikike Kufa ni kufa tu, hivyo iwavyo hata yanga imekufa.
Tena penalt wachezaji walikua wanakosa makusudi kabisa.
Tunasema yanga amenyimwa goli
 
Wewe mbona unaongelea habari za Simba kwenye huu uzi wako? Au VAR ndio imepost huu uzi
 
Kile kikundi kinachojua ni kuaibisha taifa. Walipigwa kwa mkapa wakaenda kumaliziwa misri hawana jipya
Hadi numbisa leo umeandika sentence ndefu

Kwa Kweli Simba hauko nao kwa vyovyotevile
 
Sawa haya mbona akina namungo mnawafanyia huku, Yanga CAF ni timu ndogo tu, haya mmepewa penalt mkakosa makusudi kama siyo uzembe nini.
Hkn makusudi penat Haina wataalamu
 
Sawa haya mbona akina namungo mnawafanyia huku, Yanga CAF ni timu ndogo tu, haya mmepewa penalt mkakosa makusudi kama siyo uzembe nini.
Hoja Ni kuwa kwann Simba hajadiliwi kbsa wkt tulicheza pmj
 
Simba wanajielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…