Naona wamecopy hadi kipande cha ramani ya London [emoji28][emoji28][emoji28]
Kuiga kitu kizuri huwa ni jambo linaonyesha unajitambua.Sema katika jezi ya simba kitu kinachonikera ni hiyo MO EXTRA imekaa ki dwanzi sana.
Nawewe unavaa utopolo?Jezi kali sana, wanauzaje hii?