Simba SC wameshinda leo goli 4. Je, wametoa bahasha ya shilingi ngapi?

Simba SC wameshinda leo goli 4. Je, wametoa bahasha ya shilingi ngapi?

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Hawa jamaa wa umbumbuni leo wameifunga ruvu shooting goli 4 sasa tunajiuliza wao wametoa bahasha ya shingapi maana wakishinda wengine wanasema ni bahasha lakini wakishinda wao ni ushindi halali.

Hapo ndo unapopima akili za hawa jamaa na kugundua ni hamnazo, hawajielewi wala awajitambui na tunawakumbusha tu mzunguko wa pili mtakuwa ugenini kwa mechi nyingi na yanga atakuwa kwa mkapa kwa mechi nyingi ivyo nafikiri kimahesabu inajulikana ni nani anakwenda kubeba ndoo kwa mara nyingine na tutaendelea kushuhudia hat trick za mayele kwa mkapa kama kawaida.

Tunawapongeza kwa ushindi wa leo lakini muache ujinga na utahaira wa kubeza ubora wa wenzenu mtakuwa mnaumbuka kila siku
 
FB_IMG_16688817950605809.jpg

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mo Dewji atafilisika
Ni amnazo sana hawa jamaa aliyewaita mbumbumbu akukosea leo unawaona meno yote yako nje wanakenua kwa ushindi lakini akishinda mwingine mate yatawatoka kama wala mirungi
 
Mpira ni Mchezo unaochezwa hadharani...!

Refa akitoa penati Mchongo we utashindwa kuitambua?

Au akikataa GOLI Zuri ,we pia utaliona.?

Sasa 'tuhuma' hizo Kwa Utopolo ni Kitu cha Kawaida Siku hizi.

Mambo Ya Bahasha Sio Shutuma zinazoihusu Simba
 
Mpira ni Mchezo unaochezwa hadharani...!

Refa akitoa penati Mchongo we utashindwa kuitambua?

Au akikataa GOLI Zuri ,we pia utaliona.?

Sasa 'tuhuma' hizo Kwa Utopolo ni Kitu cha Kawaida Siku hizi.

Mambo Ya Bahasha Sio Shutuma zinazoihusu Simba
Basi tulieni ivyo ivyo kama mnanyolewa bahasha itaendelea kama kawaida ikiwemo makolo pia kupewa bahasha maana ushindi pekee kwenu ni sare nyingine mnagongeshwa
 
Kuna mashabiki wanashangqza dunia! Ila hawa wenzetu wamezidi aisee. Huwa wanaumia sana Yanga ikishinda mechi zake.

Cha kushangaza sisi mashabiki wa Yanga huwa hatushtuki kwa chochote inapotokea wameshinda mechi yao!
 
Unbeaten ndy bahasha.

Haiwezekani ujitambe unbeaten inchini Lakini ukivuka mipaka ya inchi wahuni wanapiga tako 3000.

Kama Sio unbeaten za mchongo ni Nini?
 
kwani uongo?au mnaonewa?
Bosi wenu ndo mchezo wake.timu mbovu anaibeba kwa rushwa
 
Wachezaji wa Ruvu shooting walibugizwa kete za Ngada kabla ya mchezo bila kujua.
 
Back
Top Bottom