Simba SC wasema si sawa kutumia fedha za walipakodi kuwapeleka Mashabiki wa Yanga Afrika Kusini, CCM ijitafakari

Simba SC wasema si sawa kutumia fedha za walipakodi kuwapeleka Mashabiki wa Yanga Afrika Kusini, CCM ijitafakari

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Michezo ni Siasa

Msemaji wa Simba SC mh Ahmed amesema si haki Serikali kuwasafirisha mashabiki wa Yanga kwenda kuishangilia Timu binafsi huko Africa kusini kwa kutumia fedha za walipakodi.

Ahmed amesema mashabiki wa Simba SC japo wanasafiri kwa mafungu kwenda Cairo lakini wamejigharamia Wenyewe na watarejea na Ushindi.

Mh Ahmed Ali amelialia ukurasani X.
 
Kumbe kusafirisha na kununua magori ni pesa zinazotoka sehemu mbili tofauti?. Mbona hatukuwahi kuona wakikataa pesa za magori? Au sio Kodi ya Umma?, wivu na kuona wamezidiwa.... Waswahili husema "mfa maji haachi kutapatapa". Zama zake zinaelekea mwisho wata-msaa8 chapu.
 
Back
Top Bottom