Kumbe kusafirisha na kununua magori ni pesa zinazotoka sehemu mbili tofauti?. Mbona hatukuwahi kuona wakikataa pesa za magori? Au sio Kodi ya Umma?, wivu na kuona wamezidiwa.... Waswahili husema "mfa maji haachi kutapatapa". Zama zake zinaelekea mwisho wata-msaa8 chapu.