OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Rudi uandike tena, Simba kapata point 3 ugenini. Kwenye mashindano makubwa Simba imemuacha mbali sana utoo, yaani ni mbigu na ardhi. Takwim ziko bayana, we unaona hata CAF wanaitambua Simba katika 13 bora za Vilabu barani Afrika. Utooo hata 40 bora sijamuonaHawa mapaka aka mikia fc juzi kati cindo walitatuliwa marinda kwa kutumia kile kipimo kipya kilichogunduliwa China?? Sasa unategemea kwa mtindo huo watashinda hata kwa hao As Vita kweli??
Onyo: #YangaDaimaMbeleMwikoNyuma.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
😂😂Kwani yanga atacheza Al Ahly tarehe ngapi?
... basi mtatoka na point sifuri maana hamna timu nyingine mtaifunga.
Maamae