Sijaelewa mnatanganza mnaanza kuboresha au mmeshaanza? Kuna ulazima wa kutangaza kuwa mnaanza?Klabu ya Simba leo Juni 5, 2023, kuanzia saa 4:00 Asubuhi wanaanza kutangaza maboresho ya kikosi chao kuelekea msimu mpya 2023/2024.
Kwamba watamchukua kichuya sio😂Sijaelewa mnatanganza mnaanza kuboresha au mmeshaanza? Kuna ulazima wa kutangaza kuwa mnaanza?
Hata sasa haizuii kutimua baadhi ya wachezaji hawa kwa mechi hizi mbili tena ni vizuri mchezaji akajua hatma yake mapema.Wangesuburia ligi iishe watimue nusu ya kikosi. Afu July waanze usajili.
Kinachofanyika leo ni kama kutaka zuia kitachofanyika Ikulu
Naunga mkono hoja..!Shida ya Simba utafikiri wapo "serious" lakini wapi. Watachozungumzia ni mipango mizuri sana ya namna ya kuboresha kikosi lakini sasa ikifika wakati wenyewe wa kuboresha kikosi saa saba mchana unashtukia Kyombo kwenye ukurasa wao.
"Underdog" wenzao kwenye super 8 Mazembe walishaanza kuboresha timu yao zaidi ya mwezi mmoja ulioisha kwa kuita wachezaji mpaka Walebanoni kufanya majaribio wao Simba wapo tu wamekaa eti wanafanya mipango.
Simba sajilini tangazeni wachezaji kambi ianze mapema wachezaji wazoeane na benchi la ufundi achaneni na mambo ya saa saba mchana kwani yamewasaidia nini kwenye misimu hii miwili iliyopita.
Wanatafuta kick maana kwasasa hawapo tena kwenye headlines za Media,wapo kama Geita tuu.Sijaelewa mnatanganza mnaanza kuboresha au mmeshaanza? Kuna ulazima wa kutangaza kuwa mnaanza?
Ila dogo yupo formKwamba watamchukua kichuya sio😂
Aisee kwani simba wanahitaji wachezaji wengi sii ongezeko la wachezaji wanne tuu simba ipo poa kabisa. Pale apatikane senta beki mmoja katili, streka gk na mido kwisha kaziShida ya Simba utafikiri wapo "serious" lakini wapi. Watachozungumzia ni mipango mizuri sana ya namna ya kuboresha kikosi lakini sasa ikifika wakati wenyewe wa kuboresha kikosi saa saba mchana unashtukia Kyombo kwenye ukurasa wao.
"Underdog" wenzao kwenye super 8 Mazembe walishaanza kuboresha timu yao zaidi ya mwezi mmoja ulioisha kwa kuita wachezaji mpaka Walebanoni kufanya majaribio wao Simba wapo tu wamekaa eti wanafanya mipango.
Simba sajilini tangazeni wachezaji kambi ianze mapema wachezaji wazoeane na benchi la ufundi achaneni na mambo ya saa saba mchana kwani yamewasaidia nini kwenye misimu hii miwili iliyopita.
Sasa wanafanya overhaul basi hapo yanga bingwa tena msimu ujaoHiki ni kikosi kizima wakibadili,
Lasivyo wanaenda kule walipotoka msinu ulopita
Onyango
Nyoni
Kapama
Okrah
Gadiel
Jimson
Sawadogo
Boko
Kennedy
Sako
Mosses
Banda