Mwanagandila
Senior Member
- Oct 9, 2011
- 182
- 100
- Thread starter
-
- #21
Mleta habari hii ni nani?
.....Kocha wa Miembeni?
......shabiki wa Miembeni?
.....Refa wa mchezo huo?
Nadhani hii ingefaa zaidi kuwa kwenye jukwaa la udaku.
Simba Hoyeeeee..!!!!!!!
aiseee... bongo kila kitu mbona shaghala naghala......
Jamani kama hali ya mechi hiyo ilikuwa hivyo then kwanini timu husika zisitolewe kwenye mashindano hayo, coz sioni watakwepa wapi adhabu kama ushahidi upo wazi kama ulivyo semwa hapo juu.
Ya kweli haya?
ana point na haki ya kufanya hivyo
Ushahidi upo, Star Tv na Tvz walikuwa wanarekodi mechi hiyo, hata wakati Makungu anashuka VIP kwenda kwenye benchi la timu yake waliona, kocha akamuita Uhuru wanaona, beki wa miembeni anamgombeza kipa kwa nini umedaka inaonekana, sema kwa zanzibar nani wa kumshataki Makungu???
tunaomba clip