NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Aug 29, 2020 #21 ndiga said: Kama suala ni kupambana tu hata Singida alipambana lakini unyonge ukamzidi. Click to expand... Utopolo ni timu ya wananchi,Simba ni timu ya serikali,Singida ni timu ya nani?
ndiga said: Kama suala ni kupambana tu hata Singida alipambana lakini unyonge ukamzidi. Click to expand... Utopolo ni timu ya wananchi,Simba ni timu ya serikali,Singida ni timu ya nani?
N ndiga JF-Expert Member Joined Jan 28, 2014 Posts 605 Reaction score 614 Aug 29, 2020 #22 NAWATAFUNA said: Utopolo ni timu ya wananchi,Simba ni timu ya serikali,Singida ni timu ya nani? Click to expand... Simba ni timu ya serikali , wewe mbumbumbu kweli !!
NAWATAFUNA said: Utopolo ni timu ya wananchi,Simba ni timu ya serikali,Singida ni timu ya nani? Click to expand... Simba ni timu ya serikali , wewe mbumbumbu kweli !!
KANYIMBI JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 2,167 Reaction score 4,374 Aug 29, 2020 #23 Kumbe ushuzi wa umbumbumbu upo hadi huko CAF?. Na wangeuliza pia ni timu gani kubwa kuliko ya kihistoria inayovaa jezi za Njano ili waone Utopolo mwingine kisha wasuuzike na roho zao.
Kumbe ushuzi wa umbumbumbu upo hadi huko CAF?. Na wangeuliza pia ni timu gani kubwa kuliko ya kihistoria inayovaa jezi za Njano ili waone Utopolo mwingine kisha wasuuzike na roho zao.