Simba SC yaliamsha dude tangu Agosti 2022 ianze

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
TANGU MWEZI AUGUST UANZE

Simba imecheza mechi 3 (St.George, Yanga na Geita)

Imeshinda mbili imefungwa moja

Imefunga goli 6 imefungwa goli 2.
Goal difference ni 4+.
Wachezaji 6 wamefunga (Kibu, Okwa, Sakho, Okrah, Phiri na Chama).

Yanga imecheza mechi 3 (Vipers, Simba na Polisi Tz)

Imeshinda mbili, imefungwa moja. SIMBA

Imefunga goli 4 imefungwa goli 4. Goli difference ni 0.
Wachezaji wawili tu wamefunga (Mayele na Mwamnyeto).

Lakini shabiki wa Simba anaaminishwa na shabiki wa Yanga kwamba Simba mbovu mno nae anaamini anaanza kuwatukana wachezaji, viongozi na makocha.

Kuna watu mmeipenda Simba kwa mkumbo hamuujui mpira.

Ni wakati wa kushangilia burudani zenu za kina Kiba na Diamond au Taarabu, Kwenye mpira mmevamia. Sio kila mchezo unaweza kuwa mchezo wako zingine acha zikupite.

Niamini mimi kabla hatujaelewana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…