OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni beki kisiki mwenye umri wa miaka 27 tokea Gor Mahia ya Kenya
Umeona tofauti ya protol za usajiri za Simba na Yanga. Heshimu wadhamini ndo wanaokuweka mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mmemlazimisha kunyoa ndevu na nywele ndio asaini,by the way mbona yeye anaonekana mkubwa kuliko Matola?View attachment 1537104
View attachment 1537105
Ni beki kisiki mwenye umri wa miaka 27 tokea Gor Mahia ya Kenya
Umeona tofauti ya protol za usajiri za Simba na Yanga. Heshimu wadhamini ndo wanaokuweka mjini
Eymael wala hakuwakosea!Time will tell! Simba imeanza kuokoteza wachezaji!
Time will tell! Simba imeanza kuokoteza wachezaji!
Eymael wala hakuwakosea!
IPO siku watakuja kumsajili na baba yake huyo onyangoHivi huyu ni mchezaji au Mwenyekiti wa baraza la wazee??
Kama kweli mnataka kushindana na TP Mazembe na Ahaly Hutu beki ni mzaha aiseee!4G zinauma wewe. Mlisema hivyo hivyo kwa Kagere. Msimu wa pili anawaburuza kwa kuwa mfungaji bora .Endeleni kusajili vigoli mkidhani mpira ni singeli.