Simba Sc yamsajiri beki Joash Onyango-Ukuta wa Berlin

Mchezaji bora kwenye ligi ya Kenya na beki bora mwska 2018/2019 akimshinda mchezaji Kahata mmoja wa viungo hatari Simba.
Ni mchezaji mzuri hasa kwa mipira ya juu. Beki wa Harambee Stars kwenye AFCON. Muulizeni Samatta shughuli yake.
 
4G zinauma wewe. Mlisema hivyo hivyo kwa Kagere. Msimu wa pili anawaburuza kwa kuwa mfungaji bora .Endeleni kusajili vigoli mkidhani mpira ni singeli.
Kama kweli mnataka kushindana na TP Mazembe na Ahaly Hutu beki ni mzaha aiseee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…