kwani kuna tatizo?we inakuuma nini
StressedTime will tell! Simba imeanza kuokoteza wachezaji!
Tumezoea hizi kauliTime will tell! Simba imeanza kuokoteza wachezaji!
Kweli na baba yako atasajiliwa utopolo fcIPO siku watakuja kumsajili na baba yake huyo onyango
Asiwe m/kit wa MANYANI FCNi mwenyekiti wa wastaafu
Msimu ujao kuna timu itaenda kuishtaki Simba FIFA kuwa haipitiki wanashindwa kufunga magoli.
Simba nguvu moja
Shadeeya
Sawa mkeweMwanane wa kwanza ana miaka 22 yuko university
Mbona Diego costa anaonekana mkubwa kulikp OleNaona mmemlazimisha kunyoa ndevu na nywele ndio asaini,by the way mbona yeye anaonekana mkubwa kuliko Matola?