sir venance
Senior Member
- Oct 26, 2017
- 151
- 223
Uongozi wa Klabu Sumba umeuvunja rasmi mkataba na kocha wake msaidizi Irambona Masoud Djuma kuanzia leo Oktoba 8, 2018
Taarifa rasmi iliyotolewa na klabu hiyo imesema uamuzi huo umekuja baada ya mazungumzo kwa pande zote mbili hivyo ni kwa faida ya klabu na kwa maslahi ya pande zote
Aidha, Djuma amesema kuwa hakutegemea kama siku moja angefika Simba hivyo anashukuru sana Wanachama na Mashabiki wa Simba na kuongeza kuwa kila lenye mwanzo lina mwisho
=======
My take:
Hili lilijulikana wazi kutokana na matukio yaliyokuwa yakiendelea cku za hivi karibuni,Kama vile Masoud kutosafiri na timu katika baadhi ya mikoa,vilevile kutokuwa maelewano na makocha wakuu wake Kama omog,lechantre,na aussems,kwa akili ya kawaida ilijulikana Nini kitafuata,nenda Masoud djuma wewe ni kocha mzuri lakini Simba ni kubwa zaidi yako.