N nzagambadume JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 2,430 Reaction score 5,779 Jun 1, 2019 Thread starter #21 Manofu said: Nilitaka kuedit nikapuuzia . Click to expand... oh ok basi tufanye FIFA wanaionea yanga na kuipendelea simba si unajua MO anavyohonga?
Manofu said: Nilitaka kuedit nikapuuzia . Click to expand... oh ok basi tufanye FIFA wanaionea yanga na kuipendelea simba si unajua MO anavyohonga?
M myplusbee JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 3,612 Reaction score 6,158 Jun 1, 2019 #22 Wow! Simba ni ya kwanza East and Central Africa! Hivi Congo DRC ipo ukanda gani wa Afrika?! Ipo north, south or west? Yaani mashabiki wa Simba na Haji Manara wote akili zao zipo sawa!
Wow! Simba ni ya kwanza East and Central Africa! Hivi Congo DRC ipo ukanda gani wa Afrika?! Ipo north, south or west? Yaani mashabiki wa Simba na Haji Manara wote akili zao zipo sawa!